DAY 1: MAFUNZO KWA WAMILIKI NA MENEJA WA MAKAO YA WATOTO, MKOA WA PWANI

CHARITY EVENT Mafunzo

Posted by admin on 2025-05-09 20:18:22 |

Share: Facebook | Twitter | Whatsapp | Linkedin Visits: 141


DAY 1: MAFUNZO KWA WAMILIKI NA MENEJA WA MAKAO YA WATOTO, MKOA WA PWANI

April 28-29, 2025, Equip for Change ilitoa MAFUNZO KWA WAMILIKI NA MENEJA WA MAKAO YA WATOTO, MKOA WA PWANI
Juu ya mbinu za upatikanaji wa rasilimali na uendelevu wa makao ya watoto (Resources Mobilization and Sustainability). Watu 47 walihudhuria chini ya uratibu wa Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Pwani, Lydia Mafole.
Mafunzo yaliyotolewa ni:
1. Njia mbalimbali za kutafuta, kutumia, kutumia na kuendeleza rasilimali.
2. ⁠Uandishi wa maandiko miradi (Project Proposal)
3. ⁠Uandishi wa Mpango wa biashara (Business Plan)
4. ⁠Matumizi ya teknolojia katika kuandika maandiko mradi na kuchangisha fedha (Fundraising)
5. ⁠Kujenga tabia ya Kijasiriamali ili kuongeza ufanisi wa makao ya watoto


Leave a Comment: