Posted by admin on 2025-06-04 13:40:40 |
Share: Facebook | Twitter | Whatsapp | Linkedin Visits: 138
Mei 5-16, 2025, Equip for Change ilifanya ziara ya kutembelea Vikundi vya Kuweka na Kukopa vilivyoko mkoa wa Mara, wilaya za Butiama na Musoma. Katika ziara hiyo tuliwapa mafunzo mbalimbali kulingana na uhitaji wao. Kauli mbiu ya mafunzo haya ilikuwa “Nguvu ya Mabadiliko, iko mikononi mwa jamii iliyowezeshwa”: Mafunzo waliyopata ni:
1.Mafunzo kwa Viongozi wa Vikundi vya Kifedha Vijijini: Kuimarisha uongozi wa kisasa na kiubunifu.
i.Uongozi/Utawala Bora (Good Governance)
ii.Uendeshaji wa Vikundi (Group Management Skills)
iii.Usimamizi wa Fedha (Financial Management
iv.Ubunifu na Maendeleo ya Biashara
v.Uongozi wa Mabadiliko (Change Leadership)
vi.Mawasiliano Bora (Effective Communication)
vii.Utatuzi wa Migogoro (Conflict Resolution)
viii.Ufuatiliaji na Tathmini (Monitoring and Evaluation)
2.Elimu ya Ujasiriamali:
i.Umaskini ni nini, madhara yake na jinsi ya kuondoka kwenye Umaskini
ii.Kuweka Akiba na Kuwekeza
iii.Dhana ya Ujasiriamali
iv.Kanuni za kuanzisha biashara na kuikuza kijasiriamali
Vikundi 109 vilishiriki mafunzo haya ambapo kulikuwa na makundi manne ya mfunzo kwa wana vikundi wasiopungua 300
3.Misingi na Fursa za Uwekezaji mkoa wa Mara