Posted by admin on 2025-06-09 15:56:36 | Last Updated by admin on 2025-09-19 10:53:48
Share: Facebook | Twitter | Whatsapp | Linkedin Visits: 130
1. Jengo la kitega uchumi la kikundi cha Nyabange VIKOBA lenye frame 3 za kupangisha wa ajili ya maduka.
2. Duka la ndugu Majaliwa Abdalah mmoja wa wana-Vikoba wa kikundi cha Nyabange ambaye pia ni mpangaji kwenye jengo la kikundi chao.
3. Ni sawa na nambari 1 ni jengo Hilo hilo
4. Duka la vifaa vya pikipiki, linalomilikiwa na ndugu Emmanuel Surera Mwenyekiti wa kikundi cha Nyabange VIKOBA
5. na 6. Ni jengo la kitega uchumi la kikundi cha Zinduka VIKOBA kilichopo Wilaya ya Butiama, Kijiji cha Nyabange.
6. No. 7 ni choo cha kisasa cha ofisi ya kikundi cha Zinduka
7. No.8 ni jengo la ofisi na ukumbu wa mikutano wa kikundi cha Zinduka.
Hayo ni baadhi ya mafanikio ya vikundi vya VIKOBA vinavyoratibiwa na Equip for Change tangu 2012