Posted by admin on 2025-06-04 14:20:46 | Last Updated by admin on 2025-09-19 10:53:48
Share: Facebook | Twitter | Whatsapp | Linkedin Visits: 147
Equip ilifanya mafunzo ya Kujitambua kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Sagini iliyopo Nyabange.
Kauli mbiu ya Mfaunzo yao ilikuwa ni “Jitambue, Jiamini, Jitengeneze, Jiboreshe, Jiendeleze kwa maendeleo yako ya Kihisia, Kijamii na Kiroho. Mafunzo waliyopatiwa yalikuwa ni
1.Kujitambua
2.Hedhi Salama
3.Ukatili wa Kijinsia
4.Ngono zembe na Madhara ya Mimba za Utotoni
Wanafunzi 50 waliokusudiwa Me-20 na Ke-30 walihudhuria mafunzo haya na kuunda klabu yao ili kuendelea kuwafikia wanafunzi wenzao chini ya ulezi wa walimu wao.