Posted by admin on 2025-10-06 12:15:16 |
Share: Facebook | Twitter | Whatsapp | Linkedin Visits: 37
Kata ya Kwala tulifaya maadhimisho siku ya
Jumatano Oktoba 1, 2025
Wazee 314 kuanzia miaka 55 walihudhuria na
kushiriki mafunzo kama sehemu ya maadhimisho